Rais William Ruto azindua mpango wa bima ya matibabu kwa wahudumu wa bodaboda

  • | KBC Video
    12 views

    Rais William Ruto amekariri kujitolea kwa serikali kufanyia marekebisho sekta ya Boda-boda. Rais Ruto alisema kupitia ushirikiano kati ya baraza la magavana, mabunge na shirika la NYS, serikali itatoa mafunzo kuhusu usalama barabrani kwa wana boda-boda ili kuepusha maafa barabarani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #rutonewstoday #darubini