6 Mar 2026 10:27 am | Citizen TV 661 views Duration: 1:05 Huku mwezi mtukufu wa ramadhan ukiendelea , baadhi ya wahisani huko Mombasa wamekuwa wakitoa tende na maji nyakati za jioni wakilenga wasiojiweza na walioko kwenye msongamano.