Red Bonde FC ndio mabingwa wa mchuano huo

  • | Citizen TV
    86 views

    Red Bonde FC waliibuka mabingwa kwa kuilaza Shammah FC bao 1–0 na kutwaa kombe la Tyno Rotino katika uwanja wa kapkoris, kapenguria.