Rigathi ahudhuria kongamano la 63 la wajumbe wa chama cha kitaifa cha walimu jijini Nairobi

  • | KBC Video
    23 views

    Serikali itatoa kipaumbele ajira ya walimu wa Junior sekondari ambao kandarasi zao zinatarajiwa kukamilika mwezi huu. Haya yanajiri huku kukiwa na mzozo kati ya tume ya kuwaajiri walimu na vyama vyao. Akizungumza wakati wa kongamano la 63 la wajumbe wa chama cha kitaifa cha walimu jijini Nairobi, Naibu rais Rigathi Gachagua, alisema serikali imejitolea kuhakikisha kuwa hakuna mwalimu anakabiliwa na tishio la usalama katika eneo lake kazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive