Skip to main content
Skip to main content

Rigathi Gachagua adai kuna njama ya wizi wa kura katika uchaguzi wa 2027

  • | Citizen TV
    2,050 views
    Duration: 1:13
    Viongozi wa mrengo wa upinzani wakiongozwa na kinara wa DCP Rigathi Gachagua wamemshtumu naibu rais Kithure Kindiki wakidai anatumika kuwagawanya watu wa mlima kenya kabla ya uchaguzi wa mwaka 2027. Wakizungumza walipozuru kaunti za Tharaka Nithi na Meru viongozi hao pia wameshtumu kile wanadai ni njama ya wizi wa kura na kutaka kufanyiwa ukaguzi mfumo wa usajili wa watu