29 Aug 2025 10:35 am | Citizen TV 3,444 views Duration: 1:29 Wandani wa Rais William Ruto eneo la kati wamemtaka Kinara WA DCP Rigathi Gachagua kukoma kuwadhihaki Kwa misimamo waliyo nayo kisiasa, wakimtaka kukumbatia siasa za sera na utendakazi