Rigathi Gachagua, ametoa onyo kwa mawaziri na washauri wa serikali

  • | KBC Video
    17 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua, ametoa onyo kwa mawaziri na washauri wa serikali dhidi ya kuwaongelesha wakenya kwa ujeuri, huku serikali ikijitahidi kutafuta suluhu ya kupunguza gharama ya maisha. Katika taarifa yake baada ya kurejea nchini kutoka Columbia, Gachagua amewahimiza viongozi kuwa makini katika matamshi yao na kudhihirisha unyenyekevu kwa wakenya. Haya yanajiri huku seneta wa Kakamega Bonny Khalwale akitoa wito wa kusimamishwa kazi kwa maafisa wa umma wanaotoa matamshi ya kuharibia serikali sifa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News