Rigathi : Kuna watu wanasema tufanye kazi tuachane na maombi, Sisi uongozi wetu ulitoka kwa maombi

  • | KBC Video
    30 views

    Gachagua in Church :

    Rigathi : Kuna watu wanatukashifu mimi na rais ati kila Jumapili tuko kanisani kuomba, ati tufanye kazi tuachane na maombi. Sisi uongozi wetu ulitoka kwa maombi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #rigathigachagua #News