Rigathi : Shilingi bilioni sita zilizonuiwa kukabiliana na janga la Covid-19 ziliporwa

  • | KBC Video
    51 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema shilingi bilioni sita zilizonuiwa kukabiliana na janga la Covid-19 ziliporwa kutoka hazina ya kitaifa. Naibu Rais anasema maafisa wakuu kwenye serikali iliyopita walipora pesa hizo huku wakibeba kwenye vijisanduku kabla ya kupeleka nyumbani kwao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #RigathiGachagua