HALI HALISI YA ELIMU
Tathmini mpya ya vuguvugu la Usawa Ajenda imebainisha hatua kubwa katika uwezo wa kusoma na kuandika miongoni mwa wanafunzi wa gredi za chini lakini inaibua wasiwasi kuhusu masomo ya hisabati, usafi wa mazingira pamoja na ukosefu wa usawa kati ya shule za umma, za kibinafsi na zile za wakimbizi. Wakizungumza wakati wa uzinduzi wa ripoti hiyo, wadau walitoa wito kwa serikali kuzingatia maswali ibuka kuhusiana na utayari wa taifa hili kwa uchumi unaoegemea elimu ya Sayansi, teknolojia, uhandisi na Hisabati.
#Darubini
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News