Ripoti ya fedhaa yaonyesha ubadhirifu wa mabilioni NSSF

  • | Citizen TV
    1,423 views

    Ripoti ya fedha ya hazina ya malipo ya uzeeni - NSSF - imefichua ubadhirifu mkubwa wa pesa huku mkaguzi wa hesabu za serikali akisema kuwa hazina hiyo imepoteza zaidi ya shilingi bilioni 16 katika mwaka wa fedha uliokamilika mwezi juni mwaka wa 2024.