Ripoti ya ukaguzi wa wafanyikazi wa umma kaunti ya Kitui yaonyesha watu 935 ni wafanyikazi hewa

  • | Citizen TV
    462 views

    Ripoti ya ukaguzi wa wafanyikazi wa umma katika kaunti ya Kitui ilioagizwa na gavana wa kaunti hiyo daktari Julius Malombe, imeonyesha kuwa watu 935 ni wafanyikazi hewa.