Skip to main content
Skip to main content

Ripoti yaonyesha zaidi ya wanafunzi 150,000 wameacha kuendelea na elimu CBE

  • | Citizen TV
    534 views
    Duration: 2:50
    Wasiwasi umeibuka kuhusiana na idadi ya juu ya wanafunzi wa mfumo wa CBE waliowacha masomo. Takwimu za baraza la mitihani nchini KNEC zikionyesha kuwa zaidi ya wanafunzi laki moja unusu kutoka kwa tathmini ya kwanza ya CBE walikosa kukamilisha masomo ya sekondari msingi. Hata hivyo, waziri wa elimu Migos Ogamba ametilia shaka idadi hii.