Rishi Sunak: Mchumi mwenye 'asili' ya Tanzania na Kenya ndio Waziri Mkuu ajaye wa Uingereza

  • | BBC Swahili
    1,816 views
    Rishi Sunak anatarajiwa kuweka historia kama waziri mkuu wa kwanza wa Uingereza wa Asia. Wazazi wake walikuja Uingereza kutoka Afrika mashariki, na wote wawili wana asili ya Kihindi. Kutoka kwa benki ya uwekezaji hadi kazi ya juu katika serikali ya Uingereza, haya ndiyo yote unahitaji kujua kuhusu Sunak. #bbcswahili #rishisunak #uingereza #uongozi #Afrikamashariki