RMS yashirikiana na pridelands kuleta filamu za wanyamapori

  • | Citizen TV
    405 views

    Tamasha ya filamu za Pridelands kuhusu ubora wa sinema na hadithi za kiafrika imetamatika. Kulikuwa na mjadala wa paneli kuhusu "kuchora Afrika" ambao ulionyesha athari kubwa ya wachoraji katika hadithi za kiafrika. Tukio hili lilimalizika na tuzo za Nkaang', ambapo mpigapicha wa wanyamapori na mtengenezaji wa filamu kutoka Kongo Vianet Djenguet alitunukiwa tuzo ya filamu bora zaidi katika tamasha hii.