25 Nov 2025 10:45 am | Citizen TV 220 views Duration: 1:43 Mwenyekiti wa Tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC) Katika kaunti ya Bungoma Grace Rono amewahakikishia wapiga kura eneo hilo kuwa tume hiyo iko tayari kufanikisha zoezi la upigaji kura siku ya Alhamisi.