Rubani wa kwanza wa kike Afghanstan

  • | BBC Swahili
    838 views
    'Kama Afghanistan itakuwa huru kwa wanawake nitarudi na kurusha ndege huko tena.' Mohadese Mirzaee aliweka historia mwaka wa 2020 alipokuwa rubani wa kwanza mwanamke wa shirika la ndege la kibiashara nchini Afghanistan. Lakini mwaka mmoja baadaye, ilimbidi kuwakimbia Taliban walipochukua tena nchi huku wanajeshi wa Marekani wakiondoka. #bbcswahili #Afghanistan #vita