Runyu,Kijiji kisichokuwa na Umeme kwa Mwaka wa tatu sasa

  • | West TV
    38 views
    Mtazamaji kwa zaidi ya miaka mitatu kijiji cha Runyu wadi ya Bunyala Kusini, Budalangi katika kaunti ya Busia kimekua bila umem licha ya nyaya na mitambo ya umeme kuwepo.