Skip to main content
Skip to main content

RUPHA yasema huduma za wagonjwa zitarejea baada ya SHA kulipa madeni

  • | Citizen TV
    1,204 views
    Duration: 3:02
    Muungano wa hospitali hizo -RUPHA - unasema kuwa haujabadili msimamo kuhusu kuwanyima huduma wagonjwa wanaotegemea SHA na ambao hawawezi kulipa pesa taslimu kupata huduma hizo. Mwenyekiti wa muungano huo DKT. BRIAN LISHENGA anasema kuwa huduma hizo zitarejelewa punde tu SHA itakapolipa madeni ya mabilioni ya pesa inayodaiwa na hospitali hizo.