Ruth Auma wa kidato cha nne alazimika kutengeza matofali, kujilipia karo katika Kaunti ya Busia

  • | TV 47
    12 views

    Ruth Auma alazimika kutengeza matofali, kujilipia karo katika kaunti ya Busia.

    Ni mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya Musibiriri.

    Kwa sasa anaishi na mjombake kutoka na mamake kuugua.

    Ruth Auma ana ndoto ya kuwa mhasibu baadaye.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __