- 14,880 viewsDuration: 2:48Rais William Ruto ameendeleza mashambulizi yake dhidi ya rais mstaafu Uhuru Kenyatta huku akisisitiza kwamba yeye ndiye mdhamini wa mrengo wa Umoja wa Upinzani. Aidha, rais Ruto ameapa kumbwaga rais mstaafu kwa mara ya pili, wakati uchaguzi mkuu ujao utakapoandaliwa mwaka ujao.