Ruto akosoa vikali utumizi wa maafisa wa serikali katika kampeni

  • | NTV Video
    1,230 views

    Akihutubia wanahabari, naibu rais amemlaumu Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang'i na katibu wake Karanja Kibicho akisema wanawatumia maafisa wa utawala kuvuruga uchaguzi mkuu wa tarehe tisa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya