Ruto amewarai wakazi wa pwani kumuunga mkono

  • | K24 Video
    59 views

    Naibu rais William Ruto amewarai wakazi wa pwani kumuunga mkono katika kinyang'anyiro cha urais akiahidi kukwamua sekta zilizofifia katika eneo hilo. Ruto aliyezuru kaunti za Taita Taveta na Kwale amesema serikali yake itaipa kipaumbele miradi ya afya, ajira na maendeleo pamoja na kurejesha pwani uendeshaji wa shughuli za bandari.