- 8,330 viewsDuration: 3:24Rais William Ruto sasa amewajibu viongozi wa dini waliokashifu matamshi yake, akiwataka kutowaruhusu wanasiasa kufanya siasa kanisani. Rais Ruto anadai kuwa kuwaruhusu wanasiasa kutoa hotuba kwenye madhabahu ndio chanzo cha cheche za maneno ya chuki na matusi. Rais na Wandani wake wakizungumza huko Yala Kaunti ya Siaya wamedai kwamba makanisa yamekuw ayakiwapa jukwaa Viongozi wa Upinzani kuendeleza matusi dhidi yake.