1 Feb 2026 7:46 pm | Citizen TV 2,033 views Duration: 1:18 Rais William Ruto amewaamrisha maafisa wa polisi kuhakikisha kuwa wametoa usalama wa kutosha kwa makanisa nchini na sehemu zingine za kuabudu.