- 8,453 viewsDuration: 3:10Rais William Ruto amewaagiza maafisa wa usalama kukabiliana na makundi ya wahuni wanaotumiwa na wanasiasa kuzua fujo katika mikutano ya kisiasa. Rais aliyehudhuria kufuzu kwa machifu na manaibu wao hapa nairobi amesema matukio ya hivi punde hayawezi kuruhusiwa kuendelea.