- 23,505 viewsDuration: 3:01Sheria mpya zilizosainiwa na Rais William Ruto sasa zitatoa fursa kwa Wakenya kupigwa faini ya shilingi milioni 20 au kufungwa jela kwa muda usiopita miaka 10, kwa yeyote atakayechapisha maneno yatakayochochea raia kuharibu mali, kuvuruga amani ama kumvamia mtu yeyote. Aidha, sheria hii pia ikielekezwa kwa wanaochapisha mafundisho ya kidini ya kupotosha. Serikali itakuwa na uwezo wa kuzima mitandao ama tovuti inayochochea wananchi