Ruto asema ataendelea kufanya kazi na naibu wake Rigathi Gachagua

  • | NTV Video
    3,637 views

    Rais William Ruto amewataka viongozi ibuka kupunguza kasi ya maono yao ya kisiasa. Matamshi yake rais yamewalenga viongozi kutoka eneo la Mlima Kenya haswaa mbunge wa kiharu Ndindi Nyoro pamoja na wandani wake wa kisiasa ambao wamekuwa wakimpa naibu Rais Rigathi Gachagua upinzani mkali katika ubabe wa Mlima Kenya.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya