26 Aug 2025 7:45 pm | Citizen TV 1,596 views Duration: 1:03 Rais William Ruto amepongeza mtandao wa maendeleo wa Aga Khan kwa mchango wake mkubwa katika sekta za afya, elimu na mazingira nchini.