Ruto ataka vijana wa NYS kupata mafunzo kuhusu utumizi wa silaha

  • | KBC Video
    28 views

    Rais William Ruto ameagiza kujumuishwa kwa mafunzo msingi kuhusu matumizi ya silaha kwa makurutu wanaojiunga na shirika la huduma ya vijana kwa taifa, NYS. Akiongea leo alipoongoza gwaride ya 88 ya kufuzu katika chuo cha shirika hilo katika eneo la Gilgil, kaunti ya Nakuru, rais Ruto alisema hatua hiyo itawawezesha maafisa wanaofuzu kuwa na ujuzi msingi wa kulinda nchi hii wakati wa dharura.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive