Ruto atetea Hazina ya Hustler, apinga ripoti ya KHRC vikali

  • | NTV Video
    1,479 views

    Rais William Ruto ameibuka na kauli kali kulitetea jopo la Hazina ya Hustler, akipinga vikali ripoti ya Tume ya Haki za Kibinadamu ya Kenya (KHRC) iliyoita hazina hiyo duni na yenye mapungufu ya kimuundo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya