- 2,723 viewsDuration: 3:10Licha ya rai za viongozi wa dini, mashirika ya haki za binadamu na hata wananchi kwa viongozi kusitisha matusi kwenye mikutano ya kisiasa, Rais William Ruto amezidi kutetea matamshi yake akisema kwamba yanalenga kuwajibu viongozi wa upinzani wanaomrushia matusi kila siku. Rais Ruto amesema kuwa alijizuia kwa miaka miwili huku wakiendelea kumpaka tope na kuwa sasa anayosema kuwahusu ni ya kweli.