Skip to main content
Skip to main content

Ruto atetea ukarabati wa Ikulu, awashambulia wapinzani

  • | Citizen TV
    1,114 views
    Duration: 1:12
    Rais William Ruto ametetea ukarabati wa Ikulu ya Nairobi, akisema mabadiliko hayo yamelenga kuinua hadhi ya jumba hilo ambalo ni nembo ya utawala wa nchi. Akizungumza alipokutana na kikosi cha soka cha Migori katika Ikulu ya Nairobi, Rais Ruto alisema ukarabati huo unalenga kuimarisha taswira ya makao rasmi ya rais. Wakati huo huo, aliwashambulia viongozi wa upinzani, akisema wanahatarisha maendeleo ambayo serikali yake imetekeleza tangu alipoingia madarakani.