Skip to main content
Skip to main content

Ruto awakosoa upinzani akizindua miradi Kibra na Langata

  • | Citizen TV
    2,906 views
    Duration: 2:59
    Rais William Ruto hii leo amewasuta Viongozi wa Upinzani akisema hawana misingi yoyote ya Kuongoza Nchi akidai kwamba hawana maono Bali ni cheche za matusi na Kumlenga Rais. Rais Ruto alikuwa akizungumza alipozuru mtaa wa Kibra na Langata ambapo alifungua Madarasa 53 katika shule tatu za Kibra Pamoja na Kukagua Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za serikali.