- 456 viewsDuration: 2:07Rais William Ruto ameendelea kuwasuta wapinzani wake akiwataka waache kuendeleza porojo kuhusu uongozi wake. Rais Ruto aliyeendelea na ziara ya Pwani akiwa Mombasa hii leo ameendelea kusifia maendeleo yaliyofanywa na serikali yake katika miaka mitatu ya uongozi. Rais amezindua miradi kadhaa na kutoa hati za ardhi.