Rais William Ruto sasa anasema kuwa hakutakuwa na mitaa ya mabanda nchini Kenya katika muda wa miaka 15 na Wakenya wote wataishi katika nyumba za heshima. Akizungumza katika eneo la Pipeline jijini Nairobi, Rais alisema serikali yake inaanzisha mipango ya maendeleo ya mabadiliko katika Kaunti ya Nairobi ili kushughulikia changamoto muhimu kama usimamizi mbaya wa taka, makazi ya mabanda, uhaba wa maji, barabara mbovu na umeme usiotegemewa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive