Ruto: Kenya itaendelea kushirikiana na China licha ya maoni ya Marekani kuhusu NATO

  • | Citizen TV
    3,164 views

    RAIS WILLIAM RUTO SASA ANASEMA KENYA ITAZIDI KUSHIRIKIANA NA UCHINA HATA BAADA YA MAREKANI KUPENDEKEZA KENYA KUONDOLEWA KWENYE USHIRIKIANO WAKE KATIKA MUUNGANO WA NATO. RAIS RUTO AKISEMA KUWA KENYA INAFAIDI ZAIDI KUSHIRIKIANA NA UCHINA NA WAKENYA NAO WAKIFAIDI KATIKA KUUZA BIDHAA ZAO UGENINI