Skip to main content
Skip to main content

Ruto na Museveni wazindua reli Kisumu–Malaba

  • | Citizen TV
    3,023 views
    Duration: 3:01
    Rais William Ruto na mwenzake wa Uganda Yoweri Museveni walizindua ujenzi wa reli ya Kisumu kuelekea Malaba, ambayo inatarajiwa kuimarisha usafiri wa watu na bidhaa kati ya mataifa hayo mawili. Katika hafla hiyo, Rais Museveni aliitaka sekta ya kibinafsi kuhusishwa pakubwa ili kuimarisha uzalishaji wa bidhaa zitakazosafirishwa na reli hiyo. Marais hao wawili wamesema reli hiyo itaimarisha biashara na kupunguza gharama ya usafiri katika mataifa ya jumuiya ya Afrika Mashariki.