Ruto : sheria mpya ya CDF imepitishwa, waheshimiwa watakuwa na pesa ya kujenga ICT Hubs kila ward

  • | KBC Video
    52 views

    Ruto : Siasa tulikamilisha, nafasi ilioko sasa ni sisi kama viongozi tushirikiane, ndio tufanye kazi ile tuliahidi hawa wananchi. Kwa sababu tumepitisha sheria mpya ya CDF, wabunge watakuwa na pesa ya kujenga ICT Hubs ndio vijana kila ward wapate ajira.