Ruto : Tumeagiza mchele na mahindi kutoka nje, bei ya unga ilikuwa Shs.230 imepungua hadi Shs.170

  • | KBC Video
    61 views

    President Ruto on Cost of Living:

    Ruto : Ile serikali ilikuwa mbeleni ilipeleka pesa kwa wasagaji 'millers', zile pesa za subsidy hawakulipa, mimi sasa ndio nalipa. Tumeagiza mchele na mahindi kutoka nje, sasa bei ya unga ilikuwa Shs.230 imepungua hadi Shs.170.

    #ThePlan #rutotodaynews