3,036 views
Duration: 2:08
Rais Ruto: Wakati mambo ya 'Ex' yalisemekana, nikaona watu hapa wanaanza kuongea. Na mimi nikaona Rachel anajaribu kunitazama, nikakaza macho nikaangalia mbele. Ni kama alikuwa ananiuliza, 'Hata wewe uko na hii maneno?' Lakini Rachel si unajua maneno yangu yote naweka wazi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive