Sababu riba kubwa TZ zatajwa
’Kwa mwaka wa 2024 deni letu la taifa la takriban shillingi trilioni 100, lipo katika uwiano wa takriban asilimia 44% ikilinganishwa na ukomo wa asilimia 55%unaokubalika kimataifa’’
-
Gavana wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) Emmanuel Tutuba amekiri kuwa deni la taifa hilo linazidi kukua ila bado lipo chini ya ukomo wa uwiano wa deni la taifa na pato la taifa unaokubalika kimataifa wa asilimia 55%.
-
‘’Deni letu ni himilifu kwa muda mfupi wa kati na mrefu na lipo ndani ya viwango vinavyokubalika kimataifa.’’
-
Kauli hiyo imetolewa na wakati wa mahojiano maalum na mwandishi wa BBC Florian Kaijage.
-
-
-
#tanzania #uchumi #bbcswahili #denilataifa #BoT
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
4 Aug 2025
- The warning comes amid complaints from Kenyans.
4 Aug 2025
- Harambee Stars secured their first-ever victory at CHAN on Sunday.
4 Aug 2025
- The pair was charged a day after their arrest.
5 Aug 2025
- Enquiries revealed that two plots were used as collateral to acquire a loan on which the borrowers defaulted.
5 Aug 2025
- Education Cabinet Secretary Julius Ogamba finds himself increasingly sidelined by his own Principal Secretaries.
5 Aug 2025
- Why US ballooning public debt is a key concern for Kenya
5 Aug 2025
- Nairobi Expressway contractor to shoulder Sh6.9b tax bill
5 Aug 2025
- Court spells the end of Isiolo's 60-year-old bar, a relic of 'choma'
5 Aug 2025
- Kebs deal with Japanese firm for car inspections under scrutiny
5 Aug 2025
- Why civil society wants Hustler Fund scrapped
5 Aug 2025
- Will Kenya Kwanza's scorecard be enough to win Ruto a second term?
5 Aug 2025
- Kenyan athletes focused on Tokyo Worlds despite Chan fever
5 Aug 2025
- Varsities VCs protest course fee cuts as debts soar to Sh85 billion