Sababu ya Wanawake kuandikisha idadi ndogo kwa maafa ya Korona kuliko Wanaume

  • | West TV
    36 views
    Wanaume wanadaiwa kuwa watepetevu kwa kufuata sheria kuliko Wanawake. Utepetevu umedaiwa kuchangia idadi kubwa ya maafa kutokana na korona