Safaricom imezindua rasmi tamasha ya M-PESA sokoni

  • | Citizen TV
    1,432 views

    Kampuni ya mawasiliano ya Safaricom imezindua rasmi tamasha ya Mpesa Sokoni, kama sehemu ya maadhimisho ya miaka kumi na nane tangu kuanzishwa kwa huduma za M-Pesa. Kwa ushirikiano na kampuni ya Royal Media Services, sherehe hizo zinazolenga kuwatambua wafanyabiashara na wateja wa MPESA kote nchini.