Safaricom yazindua Neon smarta na Neon Ultra kwa wakazi wa Chwele siku ya Valentine

  • | West TV
    49 views
    Mawasiliano kwa wakazi wa chwele na maeneo ya karibu yamepigwa jeki baada ya kampuni ya safaricom kuzindua simu ya neon ultra na neon smarta huku wakifahamishwa namna ya kuilipia kupitia mpango wa lipa mdogo mdogo