- 637 viewsDuration: 2:38Katibu wa Elimu ya Msingi Julius Bitok amefichua kwamba zaidi ya wanafunzi elfu 50,000 hewa wamekuwa wakifaidi mgao wa serikali wa shillingi elfu 15,000. Bitok amesema kuwa uchunguzi unaoendelea umefichua kwamba Idadi ya wanafunzi hawa iliongezwa katika baadhi ya shule akifichua sakata ya kufujwa kwa mabillioni ya pesa.