Skip to main content
Skip to main content

SAMBAZA au dagaa ambao wamekuwa gumzo kubwa! Ni ishara ya utamaduni na uchumi wa Ziwa Kivu,DRC

  • | BBC Swahili
    8,497 views
    Duration: 1:29
    Karibu kutazama SAMBAZA, aina ya dagaa ambao wamekuwa gumzo kubwa! Ni ishara ya utamaduni na uchumi kwenye ngambo za Ziwa Kivu. Huko Goma, nchini DR Congo mfamilia nyingi hutegemea dagaa hawa kuendesha maisha na chanzo cha kitoweo kitamu kwa ajili ya lishe bora. - - #bbcswahili #drc #dagaa