Skip to main content
Skip to main content

Samburu: Miili minne kati ya saba ya watu walioangamia kwenye mkasa wa ndege yaopolewa

  • | NTV Video
    11,925 views
    Duration: 3:03
    Miili minne kati ya saba ya watu walioangamia kwenye mkasa wa ndege eneo la Mlima Ololokwe, Kaunti ya Samburu, imeopolewa, huku miili mitatu ikishindikana kuopolewa leo baada ya kutegwa kwenye vifusi vya ndege hiyo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya