Samburu: Mwanamke apigania maisha yake hospitalini baada ya kushambuliwa na jirani yake

  • | NTV Video
    437 views

    Katika Kaunti ya Samburu, mwanamke mmoja anapigania maisha yake hospitalini baada ya kushambuliwa kikatili na jirani yake katika kile polisi wanachokichukulia kama kesi ya ukatili wa kijinsia.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya