- 415 viewsDuration: 3:15Kaunti ya Samburu imezidisha Juhudi za kukomesha ongezeko la dhulma za kijinsia Kaunti hiyo Kwa kuzindua sera za kudhibiti dhulma. Hatua hiyo itaiwezesha Kaunti hiyo kukomesha visa hivyo na kuwachukulia hatua wahusika huku ikiarifiwa kuwa visa vya dhulma vimezidi eneo hilo.